CHUSE BOYTZ
Ujio apania kuifanya kazi zenye ubora wahali yajuu video & audio asema ujio wake utakua hatari
Read more
WASANII burudani sex MATAJIRI SIASA alikiba diamond UDAKU MAPENZI MICHEZO soccer
Ujio apania kuifanya kazi zenye ubora wahali yajuu video & audio asema ujio wake utakua hatari
NEW SONG CHUSE BOY FT MAKAMUA $ COUNTRY BOY TUNA HUSTLE
rapa wa music nchini tanazania aitwae chuse boy ameachia single mpya itwayo TUNA HUSTLE amewashirikisha makamua na country boy stodio legendary music producer by manase tena
Chuse boy amezungumza meng kuhusu mziki wabongo ameambia mashabiki kwamba yupo kwwnye mpango wakuaandaa video ya ngoma yake tuna hustle
Tuzo za BET Awards 2015 zilichukua headlines kubwa siku ya jumapili tarehe 28 June 2015 Los Angeles Marekani ambapo mc alikua ni Anthony Anderson na Trace Ellis Rose.
Wakali wa muziki kama Chris Brown, Nicki Minaj, na Rihanna na wengine walimiliki stage kwa kuperform. Janet Jackson pamoja na Smokey Robinson walikua baadhi ya watu waliopewa tuzo za heshima mwaka huu na BET.
Hapa chini nimekusogezea orodha kamili ya wale wakali wote waliopokea tuzo ya BET Award mwaka huu wachache wakiwemo Beyonce akiongoza na tuzo 3, Nicki Minaj akiwa na 2, Kendrick Lamar, Big Sean, Chris Brown, John Legend wakiwa na tuzo moja kila mmoja na kwenye kile kipengele cha International Best Act: Africa Stonebwoy kutoka Ghana aibuka kidedea.
Best International Act: Africa; Stonebwoy (Ghana)
Hii hapa ndio orodha kamili ya wasanii wote waliopokea tuzo za BET Award, karibu uitazame mtu wangu.
Best International Act UK:
FKA Twigs
Fuse ODG
Lethal Bizzle
Little Simz
Mnek
Stormzy- Winner
Best International Act Africa:
AKA
Stonebwoy- Winner
Sarkodie
Fally Ipupa
Sauti Sol
Wizkid
The Soil
Yemi Alade
Best Female R&B/Pop Artist:
Beyoncé- Winner
Janelle Monáe
Jhene Aiko
Ciara
Rihanna
K. Michelle
Best Male R&B/Pop Artist:
Chris Brown- Winner
Trey Songz
The Weekend
August Alsina
Usher
John Legend
Best Group:
A$AP Mob
Migos
Rae Sremmurd- Winner
Rich Gang
Young Money
Jodeci
Best Collaboration:
Chris Brown Ft. Lil Wayne and Tyga – “Loyal”
Big Sean Ft. E-40 – “IDFWU”
August Alsina Ft. Nicki Minaj – “No Love”
Chris Brown Ft. Usher and Rick Ross – “New Flame”
Common and John Legend – “Glory”- Winner
Mark Ronson Ft. Bruno Mars – “Uptown Funk”
Best Male Hip-Hop Artist:
Kendrick Lamar- Winner
Common
Big Sean
Drake
J. Cole
Wale
Best Female Hip-Hop Artist:
Azealia Banks
Dej Loaf
Iggy Azalea
Tink
Nicki Minaj- Winner
Trina
Video of the Year:
Beyonce – “7/11”- Winner
Big Sean Ft. E-40 – “IDFWU”
Chris Brown Ft. Lil Wayne and Tyga – “Loyal”
Chris Brown Ft. Usher and Rick Ross – “New Flame”
Common and John Legend – “Glory”
Nicki Minaj – “Anaconda”
Video Director of the Year:
Benny Boom
Beyonce, Ed Burke and Todd Tourso – Winner
Chris Robinson
Fatima Robinson
Hype Williams
Best New Artist:
Bobby Shmurda
Dej Loaf
Fetty Wap
Rae Sremmurd
Sam Smith- Winner
Tinashe
Best Gospel Artist:
Michelle Williams
Erica Campbell
Deitrick Haddon
Fred Hammond
Mali Music
Lecrae- Winner
Best Actress:
Gabrielle Union
Kerry Washington
Taraji P. Henson- Winner
Tracee Ellis Ross
Viola Davis
Best Actor:
Anthony Anderson
Idris Elba
Jussie Smollet
Kevin Hart
Terrence Howard- Winner
Youngstars Award:
Jacob Latimore
Jaden Smith
Mo’ne Davis- Winner
Quvenzhane Wallis
Zendaya Coleman
Best Movie:
“Annie”
“Beyond the Lights”
“Selma” – Winner
“Think Like a Man Too”
“Top Five”
Sportswoman of the Year:
Brittney Griner
Candace Parker
Serena Williams- Winner
Skylar Diggins
Venus Williams
Sportsman of the Year:
Chris Paul
Floyd Mayweather Jr.
LeBron James
Marshawn Lynch
Stephen Curry- Winner
Viewer’s Choice Award:
The Weekend –“Earned It”
Kendrick Lamar – “I”
Dej Loaf – “Try Me”
Rae Sremmurd Ft. Nicki Minaj and Young Thug – “Throw Sum Mo”
Beyonce –“7/11”
Nicki Minaj Ft. Drake, Lil Wayne and Chris Brown – “Only” – Winner
Centric Award:
Avery Sunshine – “Call My Name”
Jazmine Sullivan Ft. Meek Mill – “Dumb”
Mark Ronson Ft. Bruno Mars – “Uptown Funk”
Sam Smith Ft. Mary J. Blige –“Stay With Me”
Hii ni orodha kamili ya washindi wa tuzo za muziki Tanzania Kilimanjaro Music Awards 2015 zilizofanyika 13 June 2015 Mlinani City jijini Dar es salaam.
1. KIKUNDI BORA CHA MWAKA - BONGO FLEVA - YAMOTO BAND
2. KIKUNDI BORA CHA MWAKA TAARAB - JAHAZI MODERN TAARAB
3. BENDI BORA YA MWAKA - FM ACADEMIA
4. MSANII BORA CHIPUKIZI - BARAKA DA PRINCE
5. WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA KITANZANIA (WAITE) -MRISHO MPOTO FT. FELLY KANO
6. WIMBO BORA WA ZOUK/RHUMBA - NITAMPATA WAPI - DIAMOND PLATINUMZ
7. WIMBO BORA WA AFRO POP - MWANA ALI KIBA
8. VIDEO BORA YA MWANAMUZIKI YA MWAKA - MDOGOMDOGO - DIAMOND PLATINUMZ
9. MTAYARISHAJI BORA WA MWAKA BENDI - ENRICO
10. MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA BONGO FLEVA - NAHREEL
11. MTUNZI BORA WA MWAKA- HIP HOP - JOH MAKINI
12. MTUNZI BORA WA MWAKA BENDI - JOSE MARA
13. MTUNZI BORA WA MWAKA BONGO FLEVA - ALI KIBA
14. MTUNZI BORA WA MWAKA TAARAB- MZEE YUSSUF
15. MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA MWAKA WA KIUME - ALI KIBA
16. MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA MWAKA WA KIKE - VENESSA MDEE
17. MWIMBAJI BORA WA KIUME TAARAB - MZEE YUSSUF
18. MWIMBAJI BORA WA KIUME BONGO FLEVA - ALI KIBA
19. MWIMBAJI BORA WA KIKE TAARAB - ISHA MASHAUZI
20. MWIMBAJI BORA WA KIKE BONGO FLEVA - VANESSA MDEE
21. WIMBO BORA WA TAARAB (MAPENZI HAYANA DHAMANA)- ISHA MASHAUZI
22. WIMBO BORA WA MWAKA (MWANA)- ALI KIBA
23. WIMBO BORA WA KISWAHILI BENDI (WALEWALE) -VIJANA WA NGWASUMA
24. WIMBO BORA WA R&B (SIKSIKII)- JUX
25. RAPA BORA WA HIP HOP - KIPI SIJASIKIA ( PROF J FT. DIAMOND PLATINUMZ)
26. MSANII BORA WA HIP HOP - JOH MAKINI
27. WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI (SURA YAKO) - SAUTI SOL
PICHA ZA LULU AKIWA UCHI AMA KWELI MTOTO KAUMBIKA
MACH 2 GOAL KUMI KWAPICHA ZA VICHEKESHO UTAZPATA HAPA
PICHA KALI YASIKU
DADA AKIONYESHA MAUNGO YAKE YASIRI UNADHANI NIMAISHA MAGUM LAANA KWA WADAD WAKITANZANIA AU NIUJINGA TU
AUDIO; SHETTA FT DIAMOND- KEREWA , DOWNLOAD HAPA - BongoSwaggz.Com
TAZAMA NYIMBO YA DIMONDI MPYA MY NUMBER ONE
WANYAMA WAZURI
AJALI WATU 13 WAMEFARIKI DUNIA BAADA GARI AINA YA NOH WALILOKUA WAKISAFIRIA KUGONGANA USO KWA USO NA GARI KUBWA WALIKUWA WANATOKA ITIGI WAKIELEKEA SINGIDA SEHEM YATUKIO ISUNA
TIMU TANO TAJIRI DUNIANI
MPE SAPOTI MTUWAKO WANGUVU MILLARDIAYO WAKATI ATAKAPO KUWA MIKOANI KATIKA KUAZIMASHA MIAKA 14 YA CLOUDS FM