CHUSE BOY ACHIA SINGLE MPYA TUNA HUSTLE
NEW SONG CHUSE BOY FT MAKAMUA $ COUNTRY BOY TUNA HUSTLE
rapa wa music nchini tanazania aitwae chuse boy ameachia single mpya itwayo TUNA HUSTLE amewashirikisha makamua na country boy stodio legendary music producer by manase tena
Chuse boy amezungumza meng kuhusu mziki wabongo ameambia mashabiki kwamba yupo kwwnye mpango wakuaandaa video ya ngoma yake tuna hustle

0 maoni: