Yanga vs jkt oljor
Yanga imeendeleza ubabe wake wakupiga Tatu tatu ilishinda mchezo wake wamwisho wakukamilisha mzunguko wa kwanza wa ligikuu tz bar a dhidi ya jkt oljoro ilio fungwa 3-0 katika uwanja wataifa kwasasa yanga wapo killleleni mwaligi kwakua NA alama 28 wakufatiwa na azam NA mbeya city wrote wakiea na a lama sawa 27

0 maoni: