KUNDI GUMU KULIKO YOTE KOMBE LADUNIA
Linalo semekana kua ndio kundi LA kifo katika michuyakombe ladunia litakalo fanyika June 2014 RONALDO amezunguzi kundi lao akisema "kiukweli nlikua nimelala wakati drop ya kupanga makundi inafanyka tunapaswa kujtahidi mno kwani kundiletu no gum sana kiukweli" maneneno hayo alikuwa akiyazungmza mbele ya wachezaji wenzake huko Madrid. Drop lilifanyika ijumaa iliopita kundi hilo nikundi G ambalo lina pambwa NA Tim za ujerumani, Ghana , u s a ureno zote zikiwa nitim bora

0 maoni: