RONALDO .NA MESS
Wachezaji wawili ambao nimaarufu duniani wamekuwa gumzo kubwa katika kandanda . RONALDO na mess wameonekana kuchuana vikali kuhusu tuzo za laliga huku wakigawana tuzo kilammja akiomdoka ma tuzo yake mess ametwaa tuzo ya mchezaji bora wamwaka 2013 RONALDO yeye akitwaa tuzo ya mchezaji mwenye thamani kubwa kiungo bora ni iniesta wa barca beki bora Sergio Ramos era Madrid easier allmerand alie ibuka natuzo mbili moja kiubora pili mchezaji alie jituma zaid cocha bora ni Diego some one aliwabwaga macocha vilanova wa barca na morinho alikua kocha wa madrid

0 maoni: