DIAMOND PLATINUMZ AENDELEA KUWAGALAGAZA WASANII WA AFRIKA

azina tena ‘kiki’ kama zamani, Diamond Platnumz ameendelea kuwagalaza wasanii wa Afrika kwakuwa jina lake ndilo limekuwa likitajwa zaidi na mashabiki kwenye akaunti ya Facebook ya tuzo hizo.

Katika wiki ya ya 17 tangu watu waanze kutaja majina ya wasanii wa Afrika, Diamond ameendelea kuongoza na kuwaacha mbali wasanii wakubwa wakiwemo Koffie Olomide, Sarkodie, Fally Ipupa, Werason na wengine.



Written by

0 maoni: