DIMOND PLATNUMZ ACHAGULI KUGOMBEA TUZO ZA BET

Msanii maarufu na mtumbuizaji Hapa nchini Nassib Abdul, maarufu kama DIAMOND PLATNUMZ,  ni miongoni mwa wasanii waliochaguliwa kwenda katika Tuzo za B.E.T zinazoandaliwa na kituo cha Television cha watu weusi nchini Marekani 'Black Entertainment Television' (BET) Tuzo ambazo zinatambulika sana kimataifa.

Msanii huyu ambae amekuwa nominated kwenye category ya 'Best African Acts' akichuana na wasanii kama Davido (Nigeria), Mafikizolo (Afrika Kusini), Sarkodie (Ghana), na Tiwa Savage (Nigeria). Diamond ambae amekuwa nominated ndio msanii pekee kutoka Africa Mashariki ambae ametangazwa rasmi siku ya Jana katika mtandao wa BET.com



Written by

0 maoni: