SHOW KUBWA KUFANYIKA MWEMBE YANGA JIJINI DAR KUSABABISHWA NARADIO MPYA E FM 93.7
93.7 E FM
Vumbi litatimka moto utawaka sikuhiyo nibonge la show kuwahi kuwahi kufanyika katika vwanja vya mwembeyanga katika wilya yatemeke jiji dar usikose kushuhudia mwenyewe show hii ambayo inasababishwa na kituochako KIPYA chaguo jipya radio inayopendwa nawatu 93.7 E FM
Yatafanyika mengi siku hiyo ya jumamosi wkend hii
1. Kufanya usafi kwabaadhi yamaeneo
2. Michezo mbalimbali
Music kutoka kwa wasanii tofauti tofauti
Mchezo wa baskel ,ngoma
Navingine vingi
Uskose endelea kuskiliza 93.7 E FM

0 maoni: