PROFESA JAY APELEKWA MAHAMANI
Msanii wa kizazi kipya maarufu kwa jina la Profesa Jay ameachia picha kibao siku ya leo huku zikimuonyesha akiwa katika hali tata akiwa na watu waliovalia jezi kama za jeshi la polisi, katika picha hizo pia wameonekana Diamond Platnumz na Producer maarafu hapa Bongo Majani wa Bongo Records.
Baadae ilifahamika kuwa picha hizo zilikuwa za maandalizi ya video mpya ya Profesa Jay ft Diamond Platnumz-Kipi Sijasikia inayotarajiwa kuachiwa hivi karibuni. Kaa mkao wa kuichek Video hii kwani itakuwa kali sana.
-CHEKI PICHA ZAIDI BONYEZA HAPA

0 maoni: