ODAMA ATOA UJUMBE MZITO

Kupitia mtandao mmoja maarufu wa kijamii, mwanadada Odama ametoa ujumbe huu kwa watu wote asubuhi ya leo

"...Natafakari zab.116:12 "Nimrudishie nini Bwana kwa Ukarimu wake wote alionitendea? Ameniwezesha mangapi ikiwemo uhai? Ameniepusha mangapi kikiwepo kifo? Tena ni Ndugu wangapi nilianza nao Mwaka lakini mpaka dakika hii sipo nao? Nimemtendea nini MUNGU mpaka dakika hii mimi napumua? Naomba uungane nami katika kutafakari fungu hili kwa kusema yote ni kwa NEEMA TU. Ukiweza chota nawe baraka hii kwa kuwatumia japo Wakristo 5 Ujumbe huu utabarikiwa sana!



Written by

0 maoni: