DAVIDO AKOSANA NA WATANZANIA
Dec 8, 2014
Watanzania wamjia juu Davido baada ya kuponda ushindi wa Idris
Davido yuko katika wakati mgumu sana na sidhani kama atakuja tena kupiga show yoyote Tanzania maana wananchi wamempania vibaya sana baada ya kuponda ushindi wao nakupa nafasi yakusoma baadhi ya comments zao wanahamasishana kumunfollow

0 maoni: