CHELSEA
Leo ilikua Siku mbaya kwachelsea ambapo ikubali kulazmishwa sare ikiwa nyumabani kwao Chelsea ndio ilianza kudnga goli katka dakika 45 zakwanza hadi mapumziko Chelsea 1-0 west broom kipindi chapili kilianza kwat zote kuche za vzuri lakini west brm ilfanya mashbulizi yakushtukiza naikapata bao ikawa 1-1 west BRM waliendelea kulindama lango LA Chelsea na wakapata bao LA pili ikawa 1 -2 had I dkka 90 zikalizka Chelsea ilisawazisha dakika 93 kupitia mkwaju wa penalty iliopigwa na hazard hivyo mchezo ukamalizika 2-2

0 maoni: