KASEJA ATUA JANGWANI

Wanajangwani   yanga wameamua kumpa kibarua goli kipa juma kaseja. Kaseja amekiri kuungana NA yanga  nakusema kwamba atahakikisha kikombe kinabaki jangwani.     



Written by

0 maoni: