AKUTWA NA KIUNGO CHABINADAM
Nitaarifa zakuskitisha katika jamii nakatika nchi ya amani kama Tanzania inayosifiwa kwa upendo mshikamano kuona watu wanawauwa wenzao tena walemavu au kuwajeruhi nakuwaongezea ulema
Uchunguzi unaendelea ilikupata maelezo zaidi
Serikali inashauri kilamtu Kuwait mlinzi wamwenzake nakutoa taarifa sehem huska bilakujali anaefanya vitendo hi yo ninani nibaada ya MTU mmoja kukutwa nakiungo chabinadam porini akidaiwa kuwa mshirikina

0 maoni: