WITO UMEENDELEA KUTOLEWA KWA BUNGE MAALUM LAKATIBA
Wito umeendelea kutolewa kwa wajumbe wa bunge maalumu la katiba watakapokwenda bungeni awamu ya pili kuzingatia na kuheshimu
maoni yaliyopendekezwa na wananchi katika rasimu ambayo iliwasilishwa katika bunge hilo na iliyokuwa tume ya mabadiliko ya katiba ambayo kuundwa kwake kulifuta misingi ya kanuni na sheria za nchi.Hayo yamesemwa na mratibu wa kanda ya Pwani kutoka chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema katika mwendelezo wa mikutano wa kuelimisha wananchi juu ya kupatikana kwa katiba ya wananchi ambapo viongozi hao walikuwa wakiongea na wananchi wa Ukonga na Gongol

0 maoni: